Posted on e-maketi by Ahmed Hassan
KIWANJA
Inauzwa kiwanja kizuri chenye ukubwa wa mita za mraba 641 (641 sqm) kilichopo Mawala, Burka – Arusha, eneo linalokua kwa kasi na lenye mazingira tulivu yanayofaa kwa makazi au uwekezaji.
Kiwanja kinafaa kwa:
Ujenzi wa nyumba ya makazi
Makazi ya kifahari (villa/bungalow)
Uwekezaji wa baadaye kutokana na ongezeko la thamani ya ardhi eneo la Burka
Ukubwa wa kiwanja: 641 sqm
Eneo: Mawala, Burka – Arusha
Barabara: Nzuri na inafikika mwaka mzima
Huduma: Umeme na maji karibu
Umiliki: Hati halali / Umiliki safi (kulingana na hali halisi)
| Type - Brand | KIWANJA |
|---|---|
| Title Deed | available |
| Property Type | N/A |
| Number of Rooms | N/A |
| Price | 90000000 /- | Price change | Negotiable |
|---|---|
| Year Built | N/A |
| Bathrooms | N/A |
Aggg
Kiwanja ni ghali sana.
Write a Review